MUHUTASALI WA KIKAOO CHA USAIHILI WA WAWEZESHAJI KUTOKA KATA SABA ZA MANISPAA YA TABORA. – Kikao kilifunguliwa mida ya saa tatu asubuhi na mratibu wa mradi wa pamoja tuwalee kwa kuwakaribisha wafanyakazi wa shirika la Aict pamoja na Muwezeshaji kutoka pact tanzania, watendendaji wa kata saba za manispaa pamoja na afisa usitawi wa jamii manispaa ya tabora. Baada ya hapo muwezeshaji kutoka AICT pamoja tuwalee alisoma maada za kikao hicho kilichotanguliwa na kuuelezea maana nzima ya... | (Bila tafsiri) | Hariri |