Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TYNF/post/55
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Chanhamoto. Katika kila suala lolote la maendeleo katika jamii yote ile changamoto ni suala ambalo haliepukiki katika mtizamo wa mpango ambo ni yakinifu kwa usitawi wa maendeleo ya kijamii. – - Uelewa mdogo wa elimu kwa baadhi ya wanavikundi. Hapa wanavikundi wetu wengi hawakuwa na elimu ya kutosha juu ya huduma zitilewazo na NSSF. – -Idadi ndogo ya wanavikundi wakati wa zoezi hili la kuelimisha na kuhamasisha jamii ijiunge na mfuko wa hifadhi ya jamii ya NSSF....
(Bila tafsiri)
Hariri