(B)kufanya uhuishaji wa takwimu za watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na mahitaji yao.Vilevile kujua ni watoto wangapi wamezidi umri wa chini ya miaka 18 na niwangapi wamesajiriwa kwa mara ya kwanza katika daftari la usajiri. – (C)Changamoto kubwa tuliokumbana nayo ni kutoka na geographia ya wilaya ya sikonge kuwa mbaya hivyo basi barabara nyingi zimekua zikipitika kwa shida sana .Vilevile kulingana na bajeti ya mradi posho iliyopangwa kwa wafunyakazi hazitoshi kabisa... | (B) make the animation of the figures of children living in high-risk environments and needs yao.Vilevile know how many kids they have exceeded the minimum age of 18 years and have sajiriwa niwangapi for the first time in the registration book. – (C) The biggest challenge we face is from the geographia district a sisal that bad so many roads has grown zikipitika with great difficulty. Also according to the budget of project allowances planned for wafunyakazi totally inadequate... | Edit |