Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TYD/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
TUNAKARIBISHA WANACHAMA WAPYA – TYD ,inayofuraha kutoa taarifa kwa vijana wote kujiunga na asasi hii ili kuweza kuboresha maisha ya kila mtanzania na jamii nzima kwa ujumla kama unataka kujiunga wasiliana nasi kwa anuani iliyoko katika tovuti hii.asante na wote mnakaribishwa. – NB:wanaotaka kujiunga wawe ni wale wenye moyo wa kujitolea na sio vinginevyo
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – mwanzilishi wa TYD.Kijana wa kitanzania mwenye uchungu na maendeleo ya jamii yake. KWA PAMOJA INAWEZEKANA
(Bila tafsiri)
Hariri