Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TAHEA/topic/123673
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Katika jamii nyingi suala hili limekua changamoto kubwa kwani watoto huachishwa kunyonya hata kabla ya kufikia umri huo. je mikakati ipi inaweza kusaidia kupunguza tatizo hili ili kuwa na watoto wenye afya kimwili na kiakili, pia kupunguza hali ya udumavu kwa watoto.
(Bila tafsiri)
Hariri
KWA NINI INASHAURIWA KITAALAMU KUMNYONYESHA MTOTO MPAKA AFIKISHE WALAU UMRI WA MIAKA MIWILI??
(Bila tafsiri)
Hariri