(image) TEYODEN yafanya mafunzo ya VICOBA kwa wasichana 80 waliozaa chini ya umri na waliosahalika na jamii (Ma mama wadogo) kutoka katika kata 4 za Azimio,Mtoni,Kibada na Vijibweni.Pamoja na walengwa hao walikuwepo mentors(walezi wa wasichana katika kata) 16 nao wakipata elimu hiyo ya VICOBA.Mafunzo hayo yalitanguliwa na mafunzo ya mafunzo ya siku 2 kuhusu stadi za maisha na elimu ya ujasiriamali yaliyofanyika kwa wasichana katika kata nne za mradi zilizotajwa hapo... | (Not translated) | Hindura |