About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/TEYODEN/post/1786
: English
Base
English
Mimi naomba semina kama hizi zikitokea kila tawi litowe mtu mmoja.
(Not translated)
Edit
Kamati ya Utendaji TEYODEN yajipanga kutekeleza mradi wa Utetezi wa Mabinti wanaofanya kazi kwenye baa – Katika ile hali ya kuwajali wasichana wanaofanya kazi kwenye baa mbalimbali hapa jijini Dar Es Salaam,TEYODEN imeonelea ni vema ikajitahidi kuwatafutia suluhu ya maonevu wanayofanyiwa na wamiliki wa baa. – Katika kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika jumamosi ya tarehe 12 Juni 2010 katika ofisi za TEYODEN,kikihudhuriwa na mwakilishi kutoka Taasisi ya Maendeleo...
Executive Committee TEYODEN yajipanga implement a project of Advocacy of the daughters who work in bars,,,, In the state of care for girls who work in bars range here in Dar Es Salaam, TEYODEN imeonelea is well ikajitahidi find a solution of victimization are yofanyiwa and owners of bars . – The executive committee session happened on Saturday the 12 June 2010 in the offices TEYODEN, kikihudhuriwa and a representative from the Institute for Youth Participatory Development in Arusha...
Edit
Donation
(Not translated)
Edit