Base (Swahili) | English |
---|---|
TEYODEN YAFANYA MAFUNZO REJEA KWA MENTORS MRADI WA KUJENGA UWEZO WA KINAMAMA WADOGO WALIOSAHAULIKA. TEYODEN imefanya mafunzo rejea ya siku 3 kwa mentors(walimu wa wasichana) 16 kutoka kata za Azimio,Kibada,Vijibweni na Mtoni.Mentors hawa hapo awali walipatiwa mafunzo ya satdi za maisha,elimu ya ujasiriamali na mafunzo ya uwezeshaji ili waweze kuwa walimu,waangalizi lakini kama walezi kwa wasichana 80 katika kata 4 za mradi kama zilizokwisha taja hapo juu. katika tathimini ya TAMASHA iliyofanywa na mwakilishi wa TAMASHA katika Mradi huu bi Aziza ulikuta mapungufu kidogo kwa walimu hawa ikiwemo uwezo usiridhisha katika utoaji wa masomo kwa wasichana ngazi ya kata za mradi.Hivyo ufumbuzi wa haraka ulionekana ni kuwarusha katika mafunzo ya hatua ya pili ili kukazia hasa katika eneo la mbinu za uwezeshaji. Mwisho wa mafunzo haya ya siku 3 wawezeshaji rika(mentors) walijiwekea mipango kazi yao ili kuwezesha kufanya kazi kwa urahisi na kwa mwelekeo wa pamoja. Mategemeo ya TEYODEN ni kwamba wasichana wataboresha shughuli zao ili tuwawezeshe kupata mitaji ya kuanzisha na kuboresha shughuli zao za kiuchumi. TEYODEN inategemea kuwapa kiasi cha sh 8,000,000/= sawa na sh 1,000,000 kwa kila kikundi.Kila kata inavikundi 2 vya wasichana 10 kila kimoja. |
Make TEYODEN Return to MENTORS TRAINING CAPACITY BUILDING PROJECT FOR PRODUCERS WALIOSAHAULIKA mothers. TEYODEN has trained back in 3 days for mentors (teachers of the girls) from 16 counties to the Declaration, the two Vijibweni and Mtoni.Mentors these previously trained in satdi of life, education, entrepreneurship training and empowerment so that they can be teachers, observers but as guardians for girls 4 to 80 in the county as an existing project mentioned above. in the evaluation of CONCERT performed by a representative of the festival in this project bi Aziza found shortcomings bit these teachers, including the ability do not satisfy the provision of education for girls ward level of mradi.Hivyo solutions quickly was seen kuwarusha in training the next step to consolidate especially in the area of facilitation techniques. At the end of this training 3 days peer facilitators (mentors) they set their work programs to facilitate working easily with a common direction. Predictions of TEYODEN is that girls will improve their operations to tuwawezeshe access to capital to establish and improve their economic activities. TEYODEN depends on them amounting to shs 8,000,000 / = equivalent to shs 1,000,000 per county kikundi.Kila inavikundi 2 of 10 girls each. |
Translation History
|