Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TEYODEN/post/115517
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
VIJANA MANISPAA YA TEMEKE SASA KAENI MKAO WA KULA. – TEYODEN katika hatua ya kutia moyo wamepata nafasi ya kuwa na mwalimu wa ujasiriamali aliyewezeshwa na ILO kupatiwa mafunzo ya anzisha na kuza wazo la biashara.Start and improve your business idea (SIYB). – Baada ya mafunzo haya,moja ya kazi za mwezeshaji huyu ni kuhakikisha kuwa vijana na wafanyabishara wengine wanakuwa wafanyabiashara zenye kuleta tija na kuondoa mazoea ya kufanya biashara kienyeji. ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri