Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TEYODEN/post/115513
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri
WASICHANA WALIOZAA CHINI YA UMRI WA MIAKA 20 NA AMBAO WAPO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI WAPATA NAFASI NYINGINE YA KUPEWA MAFUNZO NA MITAJI ILI WAWEZE KUJIENDESHA KIMAISHA. – TEYODEN imefanya shughuli ya utambuzi wa wasichana walio katika mazingira hatarishi ambao pia wamezaa chini ya miaka 20 ili waweze kuwa wanufaika wa mradi wa mwaka mmoja utakao kuwa unawawezesha kusimama upya kama watu wengine katika jamii.Mradi huu...
(Bila tafsiri)
Hariri