Envaya
/TEYODEN/post/115520
: English
Base
English
Nawakubali TEYODEN mnafanya vyema.
(Not translated)
Edit
Donation
(Not translated)
Edit
TEYODEN yaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana. – Mtandao wa vijana upo katika harakati za kuinua uelewa wa vijana katika masuala ya ujasiriamali kwa vijana ambao wapo tayari kubadilisha maisha yao kutokana na kubadili mitazamo yao kutoka kukaa tu vijiweni au kumaliza shule/chuo na kulandalanda mtaani bila kufanya chochote.Takwimu zinazotokana na sensa ya watu ya mwaka 2012 inaonyesha vijana ni asilimia karibu 60 ya watu wote nchini na vilevile kwa mujibu...
(Not translated)
Edit