Tanzania youth development foundaton Ni wadau wa maendelelo katika Halmashauri za wilaya na Manispaa ya iringa, Shuguli zetu tuna toa mafunzo ya stadi za maisha na kazi ,Ushawshi na utetezi mapambano ya maambukizi mapya ya UKIMWI, Elimu ya Afya ya uzazi Elimu ya Uraia na utawala bora, kufanya tafiti ndogo jamii shirikisi vitendo kwa vijana waliopo shuleni na nje ya shule | (Not translated) | Edit |