Mbeya Vijijini na Mbozi vinara ugonjwa wa Fistula. – Serikali itoe elimu na kuwatibu wagonjwa.
Mwanamke mmoja ang’olewa kizazi.
– ASASI isiyokuwa ya Kiserikali ya Tanzania Community Media Organization (TACOMO) yenye makao makuu mkoani Mbeya, imesema ugonjwa wa matundu sehemu za siri kwa wanawake (Fistula) umekuwa mkubwa mkoani humo... | (Bila tafsiri) | Hariri |