Mtoto Hassan Adam mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa mtaa wa Itenzi. Nyumba namba IT/MW/669 kata ya Gombe jijini Mbeya amekuwa akinyanyaswa na kuchapwa mara kwamara na mama yake Bi Ashura Hassan na Baba yake Bwana Adam Jemedari na kumpelekea kupata majeraha kutokana na kushindwa kwenda Madrasa na kunyimwa chakula zaidi ya siku mbili na akiwa... | Baby Hassan Adam 12-year-old local resident of Itenzi. House number IT/MW/669 county of Gombe in Mbeya had been abused and was whipped by his mother Ms. Amara Ashura Hassan and his father Lord Gen. Adam and send him to get injured due to failure to Madrasa and deprived of food over two days as she lay down without mattress and sheets scrap ... | Edit |