About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/TASKINONDONI/post/24103
: English
Base
English
YAH KUTOA SHUKRANI KUBWA KWA UONGOZI WA CHUO KIKU HURIA Ndugu zetu wa Tanzania sisi viogozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni tunapenda kutoa shukrani kubwa kwa mkuu wa chuo kikuu huria yeye pamoja na ungozi mzima wa chuo kwa kutoa ufadhili wa masomo ya cnmputer kwa viongo na wana chama wa chama cha albinn wilaya ya kinondoni na temeke. Kwani hii nijisi inavyo onesha vile wanavyo tujali na kutupenda sisi watu wenye ulemavu wa ngonzi [ ALBINO ] . Pia tunaomba uwe mfano wa...
YAH TO THANK THE MOST FOR LEADERSHIP UNIVERSITY causes the Open Brethren of Tanzania we viogozi party albino district of Kinondoni we like to give a big thanks to the head of the university liberal he and Rulers entire college offer scholarships to cnmputer for decades and have a party albinn Kinondoni and Temeke district. Nijisi grasp because this shows how they care about us and love us we people with disabilities ngonzi [ALBINO]. Also we pray as a model for society, and institutions
Edit