About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/PCCTP/post/baraza-jipya-la-wafanyakazi-bodi-ya-utalii-yazinduliwa,123590
: English
Base
English
Katika kuhakikisha mikakati ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya Utalii, Baraza jipya la wafanyakazi wa Bodi ya Utalii hatimaye lazinduliwa. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarish jijini Dar es salaam tarehe 14 Juni 2012. – (image) Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarish (wa pili kulia) akiwa kwenye...
(Not translated)
Edit
Baraza jipya la wafanyakazi Bodi ya Utalii yazinduliwa
(Not translated)
Edit