About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/PCCTP/post/death-announcement,123591
: English
Base
English
Tumepokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa sana kwani ni kiongozi ambaye tulifanyanaye kazi sana katika module zetu hizi za kiutamaduni. Kwa niaba ya timu nzima ya Pangani coast cultural tourism,tunatoa pole kwa familia ya marehemu na kwa Wadau wote.Tutakukumbuka sana lkn Mapenzi ya Mungu nani atapinga? Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu Amen.
(Not translated)
Edit
(image) The Late Mr. Peter J. Mwenguo – The former Managing Director of Tanzania Tourist Board (TTB), MR. PETER J. MWENGUO, died at 10 am on Monday, June 18, 2012 at the Muhimbili National Hospital. – Mr. MWENGUO who served the Board for more than 15 years was engaged as...
(Not translated)
Edit
DEATH ANNOUNCEMENT
(Not translated)
Edit