Log in

/Tawa/post/98669: English: WI0003C550DCD7F000098669:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

Maswali na majibu ya wahanga wa mafuriko{Mto mzinga Mbagala Mission)

1)Mtaa wako unahitaji kitu gani?

Tunahitaji, maji safi na salama, barabara, mitaro ya kuruhusu maji kupita kwa urahisi  kipindi cha mvua

2)Unaishi eneo gani? {Mtaa gani}

Mtaa wa darajani mto mzinga Mission

3}Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?

Mali zangu zote zimepotea ikiwemo ,pesa, nguo magodoro ,vitanda,na vyombo vyote vya ndani.vingine viilchukuliwa na maji wakati vilivyosalia kuchukuliwa na  vibaka wakati tulipokimbia ili tusichukuliwe na maji.

mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?

 Kupoteza mali, nyumba yagu kubomoka baadhi ya sehemu, kuvuruga mipango yangu ya kiuchumi na mipango ya maendeleo kwani sikuweza kwenda kutafuta pesa wakati nikiwa katika kipindi kigumu  cha misukosuko  ya mafuriko, na mtaji kupotea .Kwa ujumla nimebaki sina mwelekeo wa kimaisha.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

5)Vyanzo vya ubora wa maji ,kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko|?

 kumekuwa na athari kubwa kwenye suala la maji kwani maji tunayotumia ni ya visima hivyo baada ya vyoo kubomoka maji tunatoyumia siyo salama kwa matumizi ya kibinadamu. Na ikizingatiwa umuhimu wa maji kwa binadamu ni uhai hivyo  hatuna jinsi ya kufanya

 

Questions and answers to the victims of floods {River hive Mbagala Mission)

1) Your Local what you need?

We need, clean and safe water, roads, drainage allowing water to easily pass the rainy season

2) Do you live what areas? {What} Street

River Causeway Street a hive Mission

3} How effective localized flooding in the house you lived with your things?

All my possessions have been lost, including money, clothes mattresses, beds, and all the vessels ndani.vingine viilchukuliwa and water while remaining to be taken and raped when we escape that we chukuliwe and water.

localized flooding would impact on your daily life?

Loss of property, house yagu crumble some areas, disrupting my plans for economic and development plans as I could to raise money while in times of flood disturbance, and capital loss. In general I have stayed their course of life.

5) Sources of water quality, you would have found the effect due to flooding |?

has a significant impact on the issue of water as the water we use is of the wells after the water we toyumia crumble toilets unsafe for human consumption. And given the importance of water for human life is not how we do


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
January 29, 2012
Questions and answers to the victims of floods {River hive Mbagala Mission) – 1) Your Local what you need? – We need, clean and safe water, roads, drainage allowing water to easily pass the rainy season – 2) Do you live what areas? {What} Street – River Causeway Street a hive Mission – 3} How effective localized flooding in the house you lived with your things? – All my possessions have been lost, including money,...