Fungua

/Tawa/post/115444: Kiswahili: WI000B731E5102C000115444:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

Picha hapo chiniĀ  zinaonyesha matukio mbalimbali yaliyotokea siku ya wanawake duniani,huu ni mkutano uliojumuisha wanachama wa asasi yetu ili kujadili maedeleo ya kazi za asasi kwa ujumla.Vilevile tulikuwa na taarifa mbalimbali za ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wa kike.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe