Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/Tawa/post/120288
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Wanawake tushikamane tusibaguane kutokana na kazi zetu au ujinsi wetu(sexual orientation and identities)
(Not translated)
Hindura
good job.......big up!
(Not translated)
Hindura
Tawa kwa kushirikiana na TGNP na Inernational Human Rights Watch leo tarehe 24 julai tumeanza kutekeleza lengo letu la kufanya utafiti katika makundi ya wanawake yaliyoko pembezoni yaani wanawake wanaofanya biashara ya ngono ( commercial sex workers CSW),wanawake wanaofanya mapenzi ya jinsia moja (women who have sex with women WSW),na wanawake wenye jinsia mbili (Intersex),ambapo tumeweza kuwafikia walengwa wapatao 20.(Intersex 3, CSW 12,WSW 5).Kwa mwanzo huu...
(Not translated)
Hindura