Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/Nuruhalisi/post/2801
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Hizi ni baadhi ya changamoto tunazokumbana nazo. Ni watu wakubwa na wenye uwezo ndio wanaochafua mazingira kwa kutoa taka ndani ya mageti na kuziweka nje. Wanaoathirika ni watoto wa maskini wanaocheza kwenye malundo ya taka hizo na wakazi wa kipato cha chini wanaotumia maji ya visima ambavyo havijachimbwa kitaalamu na taka hizi huingia kwenye visima nyakati za mvua. Tunaomba msaada tuwafikie na kuwaeleza namna ambavyo wanaweza kutoa ushirikiano na kuondoa dhana hiyo. ...
(Bila tafsiri)
Hariri