Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/Nuruhalisi/post/2513
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Wakati NURU HALISI inaendelea na mikakati ya kutoa elimu juu ya Utunzaji wa mazingira, Uongozi na wanachama wa shirika wamesema hawata kaa ofisini na badala yake watakua wakitoka wakati wote na kuifuata jamii ilipo. Hayo yamesemwa na afisa uhusiano wa shirika hilo Philipo Mtoro wakati walipokua wakitoa maelezo ya kazi zao kwa vitendo mbele ya mgeni rasmi wakati wa kupokea tuzo. Vile vile aliwaomba wadau wengine wa mazingira kujitokeza ili kusaidiana na...
(Not translated)
Hindura