About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/MpalanoCDO/news
: English
Base
English
(image) – Mwananchama wa Mpalano,Ndugu Nuru akichangia agenda kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mpalano CDO uliofanyika Sawe Hotel, Dar es Salaam, Februari 2014
(Not translated)
Edit
(image) – Mashindano ya ngoma aina ya ING'OMA yaliyofanyika kitongoji cha Kingani, Uyole jijini Mbeya Septemba 28 2013. Mzee Ambulungenie, amekuwa maarufu katika kuendeleza ngoma hiyo yenye asili ya WANYAKYUSA. Mashindano ya aina hiyo ni njia mojawapo muhimu katika kuendeleza udugu, urafiki, mashirikiano katika misingi madhubuti ya ujirani mwema na upendo.
(Not translated)
Edit
(image) – Mpalano jijini Mbeya. Vikundi vya ngoma kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa mbeya vilialikwa kushiriki.
(Not translated)
Edit
(image) – Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mpalano CDO,Ndugu Andulile akiweka mambo sawa kwenye mkutano huo.
(Not translated)
Edit