Base (English) | English |
---|---|
Mambo mazuri sana haya kudumisha udugu na ujirani na zaidi kutunza mila na desturi pamoja na utamaduni wetu ambao unapotea kwa kasi kutokana na mwingiliano wa mambo ya kigeni. Ni wajibu wetu kama jamii kulinda heshima na historia yetu. Asante sana uliyerusha hizi picha na habari. Tafadhali ongezea matukio ya hivi karibuni pia |
(Not translated) |