Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/MpalanoCDO/post/10
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – AMANGULUNGULU- Matunda pori maarufu katika wilaya za Kyela na Rungwe. Yakikomaa na kuiva tayari kwa kuliwa hubadilika rangi na kuwa kahawia. Kutokana na uharibifu wa mazingira, MANGULUNGULU ni miongoni mwa matunda yanayoweza kutoweka kabisa. Picha na Adam Gwankaja
(Bila tafsiri)
Hariri