Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/Mushobozi/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Jumuiya yetu inafanya kazi ya kuwajengea uwezo jamii ya watu wa wilaya ya Bagamoyo katika nyanja ya elimu ya ujasiliamali, kilimo na mifugo kwa kuwajengea wafugaji malambo ya kunyweshea mifugo yao, kuweka na kukopa(SACCOS) na tunawapatia mikopo kwa kuendeleza shughuli na miradi mbalimbali ndani ya vikundi vyao. Utawala bora husuani katika uwazi na uwajibikaji kwa Viongozi wa Vikundi na watendaji wa Serikali za mtaa, na kusambaza mbegu za mihogo zinazohimili...
(Bila tafsiri)
Hariri