Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/NVG/topic/123728
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Kwa hakika ni jambo jema sana kwa mtoto kukua na kuelekea kwenye hatua muhimu na kubwa kimaisha ya kuamua yeye anataka kuwa nani? kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia. Moja ya hatua ngumu na Nyepesi ni hatua ya Ujana ambayo ndio imekuwa dalaja la mafanikio kwa jamii nyingi ulimwenguni na pia Umasikini. Naomba nieleze dhana hizi mbili ya ugumu na ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Je vijana wanahitaji nini ili waweze kujikwamua kimaisha?
(Bila tafsiri)
Hariri