Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/HROV/post/182
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
UKATILI WA KIJINSIA – Maana – Ni aina ya ukatili unaohushisha mwanaume na mwanamke, unaotokana na jinsi wanavyohusiana na hali ya kutokuwepo kwa uwiano kati yao. Ukatili huu hufanywa kwa mtu kwa sababu tu ya jinsi yake. – Ukatili wa kijinsia huathiri wanawake zaidi kuliko wanaume. – AINA ZA UKATILI WA KIJINSIA – a) Ukatili wa kimwili – Ni kitendo...
(Bila tafsiri)
Hariri