Envaya

/HRT: Kiswahili: WI000AE9BDD0F94000078066:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

1.kutoa elimu kwa watoto wenye ulemavu wa akili na viungo.

2.kusaidia jamii kufahamu haki za watoto.

3kuendesha semina na mafunzo maalum jinsi ya kuishi na watoto wenye ulemavu wa akili.

4.kujenga madarasa yenye urafiki na watoto wenye ulemavu wa viungo.

5.elimu ya mazingira kwa ujumla.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe