Fungua

/KTG: Kiswahili: WI000A77F9C2D80000116284:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

Malengo ya shirika ni;

  1. Kuinua maisha ya jamii hasa vijijini
  2. Kuelimisha Jamii mabo mbalimbali yanayohusu haki na jinsi ya kushiriki miradi ya maendeleo.
  3. Kuelimisha jamii juu ya sera mbalimbali za serikali hususan utawala bora,uwazi na uwajibikaji.
  4. Kusaidia jamii inayoishi maisha hatarishi kama vile wazee,yatima,vijana,wajane walemavu na watoto wa mitaani.
  5. Kujihusisha na huduma za jamii kama viele afya, elimu nk.
  6. Kujihusisha na miradi mbalimbali ya kiuchumi ili kulenda hasa wanachama na jamii ya vijiji.
  7. DHIMA: Kumbuka Twiyapve Group itawajengea uwezo jamii katika kuwapa mafunzo ya uelewa na utekelezaji wa sera za taifa/ Kuiletea jamii maendeleo kufuata sera ya MKUKUTA.
  8. DIRA: Kuunda chama chenye uwezo na imara kitahachoitoa huduma za jamii kuanzia ngazi ya kata mpaka taifa.

stadi za maisha kwa vijana,kuelimisha jamii katika masuala ya maendeleo vijijini,kujengea uwezo shirika,kuliweka shirika kuwa endelevu

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe