Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
MWAYODEO kwa kushirikiana na UWEZO East Africa,imewefanya zoezi la upimaji wa uwezo wa watoto walio na umri kati ay miaka 5-16 katika wilaya ya Kilosa.Jumla ya vijiji 25 vilifikiwa na wakusanyaji wa takwimu katika ngazi ya kaya,vijiji na shule za msingi. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe