Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
mwela theatre group vuga ni tawi la mwela theatre group la Dar-es-salaam tawi hili la mwela lilianza kufanya kazi hata kabla halijakuwa tawi la mwela kilikua kikundi tu cha kijamii kikundi hiki kilianzishwa tarehe 16/4/2006 kikiwa kama kikundi cha wakulima wadogo wadogo na kuelimisha jamii kwa njia hisio rasmi kutokana na jamii yetu kukutana na changamoto mbalimbali za kijamii tuliona taarifa za mwela katika tovuti yao ya envya ivyo nasi tukapenda kazi zao na tukawaomba kushirikiana nao na kutuma maombi kwao ya kufungua tawi kwetu tunashukuru walitukubaliana na kutusaidia kwa ushauri na kuwa bega kwa bega na sisi na ilipofika tarehe 28/1/2010 tulilizindua rasmi tawi hilo na sasa tunaendelea katika michakato ya kijamii |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe