Fungua

/MUWOYOPORO/topic/24100: Kiswahili: dM000B5F7580955000024101:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

TUNAOMBA MISAADA ZAIDI KWA JAMII  ILI TUWEZE KUONGEZA UTENDAJI WETU WA KAZI. KAZI ZA KIKUNDI CHETU NI ZAKUHUDUMIA WATU WANAOISHI NA VVU\ UKIMWI.WAGONJWA HAWA TUNAWAPATA MAJUMBANI'NAWENGI KATI YA HAO HUWA WAOGA KWENDA HOSPTAL ;NASABU      KUU YA KUJIFICHA WANAHOFIA KUWA NDUGU AU JAMII ITAWANYANYAPAA;HIVYO SISI TUNA CHUKUA JUKUMU LA KUWASIDIA

 

 

 

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe