Injira

/MUWOYOPORO/projects: Kinyarwanda: WI000077A50DD23000023262:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) Kinyarwanda

Kazi tunazozifanya ni za huduma kwa jamii

1. Tunatoa elimu kwa jamii kujikinga na kujizuia maambukizi ya ukimwi na VVU. pia tunatoa huduma na lishe kuwajengea uwezo waathirika wa ukimwi

2. Tunatoa elimu kwa jamii ya kujiajiri wenyewe kuwa wajasiariamali, kupiga hatua ya     kupunguza uamsikini pamoja na kuwa na elimu bora ya ujenzi nyumba za kisasa kwa gharama nafuu.

3. Tunatoa elimu ya kutunza mazingira kupanda miti,kutunza uoto wa asili na vyanzo vya maji.

4. Tunatoa elimu kwa vikundi mbalimbali kama viwanda vidogovidogo, wavuvi na wakulima wadogo wadogo katika kuwajengea uwezo wa kupunguza umasikini

5. Tunatoa huduma kwa watoto yatima na wananchi katika mazingira hatarishi kwa kuwapatia lishe bora na elimu ya msingi na kuendelea ili kuboresha maisha yao ya kila siku.

6. Tunatoa huduma kwa wazee kuanzia miaka 70 kwa kuwapatia lishe bora,mavazi na kuwasaidia kuwa na makazi bora.

7. Tunatoa elimu ya msingi kwa jamii kutambua haki zao ni pamoja na kutetea haki za watoto na wanawake, pia kutatua migogoro ya ardhi kwa jamii hasa kwa wafugaji na wakulima

MASHIRIKA YANAYOTUFADHILI

1. The Foundation for Civil Society Tanzania

MASHIRIKA TUNAYOTEGEMEA UFADHILI

1. UN HABITAT INTERNATIONAL

2. CANADIAN CO-OPERATION OFFICE 

 

SHIRIKA LETU LA MUWOYOPORO - NATIONAL NGO

Tunaomba Mashirika makubwa na nchi mbalimbali kutupatia ufadhili, pia tunaomba wenye uwezo kwa kuungana nasi ili tuendeleze kazi hii ya huduma kwa jamii

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe