Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/OLAI/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
OLAI ni Asasi ya kiria iliyoanzishwa mwaka 2010 katika kijiji cha Sokoine, Kata ya Chaume, Wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara - Tanzania. HADHI YA KISHERIA: Olai imepata usajili wake katika ngazi ya Taifa mnamo tarehe 31-03-2011 jatika wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto chini ya Sheria Na. 24 ya usajili wa kisheria xa mwaka 2002 na kutunukiwa cheti cha usajili Na. ooooNGO/004476. Ni Asasi ya kiraia isiyolenga faida inayoundwa na wanachama ambao ni waalimu, wakulima na...
(Bila tafsiri)
Hariri