Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/OLAI/post/20584
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Asasi nyingi ndogo ndogo, wafanya kazi wake ni wale wa kujitolea. Juhudi kubwa zinahitajika hasa ushirikiano wa pamoja ili kuzipa uhai asasi hizo.
(Bila tafsiri)
Hariri
Uwezo wa asasi nyingi za kiraia hapa Tanzania, zinahitaji kupata msaada kutoka mashirika makubwa. Hivyo iko sababu ya kujituma ili kuweza kuyafikia malengo yaliyowekwa katika Asasi hizo.
(Bila tafsiri)
Hariri