JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA – jikwamue development Association ni Asasi ya Kiraia isiyotengeneza faida. – Asasi hii imeanzishwa mwaka 2010,na imepata Usajili tarehe 04/02/2011.chini ya sheria ya uanzishwaji wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Act 24/2002. – MAKAO MAKUU – Ofisi za Asasi hii zipo katika Kijiji cha Tambuu,Kata ya Lundi,Tarafa ya Matombo,Wilaya ya Morogoro Vijijini Mkoa wa Morogoro Tanzania. – JIKWAMUE... | (Bila tafsiri) | Hariri |