1) Tunasomesha watoto waliotoka katika mazingira magumu. – 2) Tunalea watoto waliotoka kwenye mazingira hatarishi. – 3) Tunashauri kwa maswala ya UKIMWI. – 4) Tunatoa elimu ya kujitegemea kwa vijana wa vijijini. – 5) Tunaboresha familia duni. – 6) Tunatunza wazee. | (Bila tafsiri) | Hariri |