Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/LINGONET/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mtandao wa AZAKi Wilaya ya Lindi umefanya Mkutano wake mkuu wa mwaka 2012 siku ya tarehe 26/01/2013 katika ukumbi wa Lindi Press club. – Mkutano huu pia ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa Mtandao ambao kwa mujibu wa katiba ya LINGONET hufanywa kila baada ya miaka mitatu. – katika uchaguzi huo viongozi wafuatao walichaguliwa kuwa viongozi wa Mtandao kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo. – 1. ESHA SALUM ...
(Bila tafsiri)
Hariri