Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/MANSHEP/post/4
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – MATUFAA KWA AFYA,LISHE NA TIBA – “An apple a day will keep the doctor away…An apple before bed makes the doctor beg his bread” (kula tunda moja la tufaa kila siku humfanya mtu asiwe na haja ya kuonana na daktari…kula tunda la tufaa kila siku humkosesha daktari mapato yake). Misemo hii ya Waingereza inaonyesha umuhimu wa matunda ya matufaa kwa ajili ya kudumisha afya ya binadamu, kukinga na kutibu magonjwa...
(Bila tafsiri)
Hariri