(image) – LISHE DUNI, AFYA DHAIFU NA UMASKINI – Ingawa Tanzania imepiga hatua katika nyanja mbalimbali za afya, bado hali ya lishe si nzuri. 42% ya watoto wa Tanzania walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na udumavu, hii ni hali mbaya kwa mjibu wa Shirika la Afya Dunian (WHO) ambalo linautazama udumavu katika nchi kuwa ni wakutisha pale unapozidi 40%.1/3 ya watoto wenye umri kati ya miezi 6 na 59 wana... | (Bila tafsiri) | Hariri |