Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/NGOME/post/38135
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
hongera kaka juma kwa mafanikio makubwa. kwani nikimaliza nitakuwa mmoja wa waatalamu hapo ofisini.lakini kaka naiomba ngome ije kwanye maafafi yangu mwezi wa 12 tarehe 3 . msalimile kaka makoti .na wanachama wote wa ngome kwani mambo si mambaya
(Bila tafsiri)
Hariri
Katika kupambana na adui ujinga na janga la watu wazima wasiojua kusoma na kuandika,NGOME imefungua darasa la watu wazima katika shule ya msingi Ufukoni katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani.NGOME inaishukuru ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa kuturuhusu kufungua darasa kwenye shule hiyo.
(Bila tafsiri)
Hariri
AMAJAP mbioni kufunguliwa,get ready Mkuranga na Maeneo yake
(Bila tafsiri)
Hariri
NGOME imefungua tawi jingine la klabu ya wanafunzi kama zilivyo klabu zingine za NGOME katika shule za sekondari ya Mikindani na Mitengo. Klabu hiyo ya NGOME imefunguliwa katika shule ya sekondari NDUMBWE Mtwara vijijini. Klabu hizi ni kwaajili ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha kwa wanafunzi wa sekondari, ambao hufundishwa na wataalam wa Afya kutoka NGOME na kufundishana wao kwa wao{UELIMISHAJI RIKA} baada ya kupata mafunzo kutoka kwa wataalam.
(Bila tafsiri)
Hariri