Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/NEYONE/post/78667
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
HONGERENI NEYONE, KWA KUJADILI RASIMU YA KATIBA KWA KUENDESHA MABARAZA YA VIJANA.
(Bila tafsiri)
Hariri
Mitandao ya vijana ya kata imeanzishwa katika kata 10 wilayani Newala ikiwa na lengo la kuwaunganisha vijana kutoka ngazi ya kaya hadi wilaya na kushikiana na serikali katika utekelezaji wa sera za maendeleo sambamba na kudumisha AMANI, UTULIVU na USALAMA wa wilaya na Taifa kwa ujumla.
(Bila tafsiri)
Hariri
Neyone sasa imewafikia vijana 200 na akina mama 100 kutoka katika Kata kumi za wilaya ya Newala kuwapa elimu kuhusu katiba ya sasa na mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya.
(Bila tafsiri)
Hariri