Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Ngorongoro arts group ni kikundi cha vijana kilichoanzishwa mwaka 2007 wilayani karatu mkoa wa Arusha, kazi yake kubwa ni kutoa elimu mbalimbali kuhusu masuala ya kijamii na kupigana dhidi (vita) ya magonjwa mbalimbali kama ukimwi,kifua kifua kikuu, kansa,malaria, na magonjwa mengine sugu yanyosumbua jamii mbalimbali. pia kikundi hiki kinapambana dhidi ya umaskini na ujinga katika jamii, pia kikundi hiki kinatoa burudani kwa wageni mbalimbali wanaokuja toka ndani na nje ya nchi. Malengo. kikundi kinalenga katika kuhifadhi mila, desturi, na mifumo mbalimbali ya kimaisha katika jamii ya kiafrika kupitia ngoma za asili, maigizo, sarakasi, mashairi, na sanaa mbalimbali, pia kikundi hiki kinawaimiza vijana kufanya kazi kwa pamoja ili waondokane na wimbi la umaskini. mawasiliano. Kikundi cha ngorongoro arts group kinatumia namba za simu +255757597786/+255713459016 au barua pepe ngorongoroarts@rocketmail.com pia wanapatikana katika website kupitia envaya. pia wanatumia sanduku la barua 268 Karatu (Arusha) |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe