About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/NAGROUP/post/103960
: English
Base
English
Ngorongoro arts group ni kikundi cha vijana kilichoanzishwa mwaka 2007 wilayani karatu mkoa wa Arusha, kazi yake kubwa ni kutoa elimu mbalimbali kuhusu masuala ya kijamii na kupigana dhidi (vita) ya magonjwa mbalimbali kama ukimwi,kifua kifua kikuu, kansa,malaria, na magonjwa mengine sugu yanyosumbua jamii mbalimbali. pia kikundi hiki kinapambana dhidi ya umaskini na ujinga katika jamii, pia kikundi hiki kinatoa burudani kwa wageni mbalimbali wanaokuja toka ndani na nje ya nchi. ...
(Not translated)
Edit