In addition to their website on Envaya, some organizations may already have another website, blog, or profile on websites such as Facebook or Twitter. – Envaya allows you to easily link to any other website for your organization. This allows people to find your organization through Envaya but still visit your other website. – To add a link to another website, go to the Edit Site page (... | Mbali na tovuti ya Envaya, baadhi ya mashirika tayari wana tovuti, blogu, au Facebook au Twitter. – Envaya inakuwezesha kuunganisha tovuti yako ya envaya na tovuti nyingine za asasi yako. Hii inaruhusu watu wanaoangalia tovuti yako ya Envaya kutembelea tovuti zako mengine. – Kuongeza tovuti nyingine kwenye tovuti yako ya Envaya, nenda kwenye ukurasa wa hariri Tovuti ( (image)... | Hariri |