(image) – Kwa Usafiri huu kweli! – Hii ni hali halisi katika Wilaya ya Kondoa ambako matumizi ya matrekta madogo (Power tiller) sasa yanatumika kubeba abiria na mizigo badala ya kufanya kazi za kilimo. Haishangazi wala kusikitisha kwani kulingana na hali halisi ya maisha; huu ni ubunifu. – Watoto wa Sikuhizi!! (image) ... | (Bila tafsiri) | Hariri |