(image) – Kwa Usafiri huu kweli! – Hii ni hali halisi katika Wilaya ya Kondoa ambako matumizi ya matrekta madogo (Power tiller) sasa yanatumika kubeba abiria na mizigo badala ya kufanya kazi za kilimo. Haishangazi wala kusikitisha kwani kulingana na hali halisi ya maisha; huu ni ubunifu. – Watoto wa Sikuhizi!! (image) ... | (image) – For this Transportation true! – This is the reality in Kondoa District where the use of small tractors (Power tiller) is now used to carry passengers and cargo instead of working in agriculture. It is not surprising nor sad because according to the realities of life, this is creative. – Nowadays children! (image) ... | Edit |