Kwa sasa MED inafadhiliwa na:- – Oxfam GB tawi la Tanzania katika mradi wa Haki zangu Sauti Yangu/My Rights My Voice (MRMV) kwa kipindi cha miaka mitatu (3) 2012 - 2014. – ILO Inafadhili mradi wa Youth 2 Youth kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) 2013. – Uwezo.net inafadhili mradi wa utafiti wa Elimu kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) 2013. – HakiElimu inafadhili vipindi vya Radio kipindi... | (Bila tafsiri) | Hariri |