Envaya

/m-e-d-1-1/page/washirika: Kinyarwanda: WI000E5DB25860F000008083:content

Base (Igiswayire) Kinyarwanda

MED inatafuta washirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote.

Kwa sasa washirika wa MED ni:-

  • OxfarmGB
  • HakiElimu ya jijini Dar es Salaam
  • UWEZO.net ya jijini Dar es Salaam
  • ILO
  • The Foundation for Civil Society
  • BBC Media Action
  • CARE - Tanzania
  • United Nations Girls Education Innovation (UNGEI)

 

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe